Kuhusu Sisi
Kliniki ya kwanza na yakudumu ya Upasuaji Rekebishi na Urembo wa maumbile jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tunajivunia kuipatia jamii yetu huduma za hali ya juu, zinayozingatia elimu ya afya kwa wagonjwa/wateja wetu. Tunamiliki timu ya wataalamu wa matibabu walio na ujuzi wa hali ya juu na waliohitimu mafunzo maalumu. Pia tuna wafanyikazi wasimamizi hodari ambao hufanya Kliniki yetu istawi vizuri. Sisi ni watoa huduma mbalimbali za upasuaji, kuanzia huduma za upasuaji rekebishi hadi huduma za Urembo zinazohusisha na zisizohusisha upasuaji. Kwa nini usafiri nje ya nchi kutafuta huduma wakati unaweza kupata huduma zenye ubora sawa hapa Dar es Salaam? Jifunze zaidi kutuhusu
Kutana na Mtaalam wetu
Dkt. Nadir Meghji, MD
Daktari bingwa mbobezi wa upasuaji rekebishi na Urembo wa maumbile alieidhinishwa na kusajiliwa. Muajiriwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) chini ya Kitengo cha Upasuaji rekebishi. Mjumbe wa Kimataifa wa Jumuiya ya Madaktari wa Upasuaji rekebishi na urembo wa maumbile nchini Marekani (ASPS).
Huduma Zetu
Macmeghji Plastic Surgery imejidhatiti kaktika kutoa huduma bora za upasuaji ili kuwasaidia watu kujisikia vizuri na kujiamini katika ngozi zao wenyewe. Tunajitahidi kuunda mazingira rafiki na yakuvutia kwa wateja wetu ili wajiskie huru kujadili mahitaji na malengo yao kupitia wafanyikazi wetu waliobobea. Iwe ungependa kuboresha mwonekano wa uso, matiti au sehem nyingine ya mwili wako, tuna uzoefu na ujuzi wa kukusaidia kufikia mwonekano unaotaka.
Upasuaji wa Kope
Upasuaji wa Pua
Kuinua Nyusi
Upasuaji wa Masikio
Matiti
Kupunguza Matiti
Kuinua Matiti
Kuongeza Matiti
Urekebishaji wa Matiti
Upasuaji wa Gynecomastia
Mwili
Liposuction
Upasuaji wa Tumbo
Upasuaji wakuongeza makalio (BBL)
Upasuaji wa Mikono
Upasuaji baada ya Uzazi
BODY SCULPTING AFTER WEIGHT LOSS IN DAR ES SALAAM, TANZANIA
TAKE THE FINAL STEP OF YOUR WEIGHT LOSS JOURNEY
Significant weight loss is an accomplishment that should be celebrated and enjoyed. However, many patients find that loose skin after weight loss can affect confidence, comfort, health, and overall wellness.
​
Chafing and rubbing can be a source of constant discomfort, shopping for clothes can be difficult, and loose skin can conceal the full effects of your hard work and dedication to a healthier life. After-weight loss Surgery allows you to show off your hard work by eliminating excess skin and refining your body’s contours. Our expert plastic surgeon specialize in body contouring after weight loss, helping patients achieve their most enjoyable treatment experience, exquisite results, and the life they have envisioned. For the best body sculpting after weight loss, schedule your consultation with our world-renowned surgeon.
Ingia kwenye Orodha
Jisajili ili iwe wakwanza kupokea ujumbe pale tutakapoanza kutoa huduma zetu rasmi.
Wasiliana nasi
Anwani
Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Morocco Square, Ghorofa ya 9.
Kinondoni, Dar es salaam, Tanzania.
S.L.P 65206, Dar es salaam.
Mawasiliano
Barua pepe: mail@macmeghjiplasticsurgery.com
Simu: +255 7431 80892
WhatsApp: +255 7431 80892
+255 685080892
Masaa ya Kazi
Jumatatu - Ijumaa
11:30 Jioni - 02:30 Usiku
Jumamosi
3:00 Asubui – 7:00 Mchana